Timu ya Afya kutoka ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Wizara ya Afya pamoja na watoa huduma za Afya ya mama Na mtoto ndani ya Mkoa wa Mwanza wamekutana pamoja ... Read More
Habari
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kupitia kitengo cha Usalama barabarani kimetoa elimu ya usalama barabarani kwa Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure na kukumbusha majuku... Read More
Wanawake Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure wameshiriki tendo la huruma kwa kutoa vifaa mbalimbali kwa wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza. ... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure imeshiriki katika wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani inayoadhimishwa kitaifa Mkoani Mwanza katika uwanja wa Furahisha ambapo Mgeni Rasmi ni ... Read More
Wanawake wa Chuo cha Bank Kuu ya Tanzania wametoa zawadi mbalimbali kwa Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure katika kuazimisha siku ya Wanawake Duniani. ... Read More
Kitengo cha kusafisha Damu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure kikiadhimisha mwaka mmoja toka kianzishwe mnamo 02/03/2022 chini ya Serikali kupitia Wizara ya Afya. ... Read More
Katika kuelekea kilele Cha maadhimisho ya siku ya Mwanamke Duniani Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure imeandaa kutoa huduma za vipimo vya magonjwa mbalimbali. Vipimo am... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure imepokwa ugeni wa Vijana wa CCM ukiongozwa na Mhe. Ngw'asi Damas Kamani Mbunge wa Viti maalum kutoka CCM. Katika ziara hiyo Viongoz... Read More
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure Dr. Bahati Msaki amekuatana na kufanya na mazungumzo na wageni kutoka Benki kuu ya Dunia wanaosaidia huduma ya afya ya mam... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza kupitia baadhi ya watumishi wa idara mbalimbali wameshiriki katika wiki ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi kwa kutoa huduma ya vipimo vya magonj... Read More