WANAWAKE KUTOKA BOT ACCADEMY WATOA VIFAA KWA MAMA NA MTOTO

Posted on: March 9th, 2023

Wanawake wa Chuo cha Bank Kuu ya Tanzania wametoa zawadi mbalimbali kwa Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure katika kuazimisha siku ya Wanawake Duniani.

Zawadi hizo zimetolewa na umoja wa Wanawake kutoka Chuo Cha BOT Accademy March 09, 2023.