Mazoezi ya Viungo

Kitengo cha mazoezi ya viungo

 • Kutoa elimu ya afya kwa wagonjwa na watumishi
 • Kutoa matibabu kwa:-
 • Watoto wenye mtindio wa ubongo
 • Watoto wenye mguu kifundo
 • Wagonjwa wenye kiharusi
 • Wagonjwa wenye maumivu ya mgongo
 • Wagonjwa wenye maumivu ya viungo (joint)
 • Wagonjwa/watoto waliopata ajali wakati wa kuzaliwa
 • Wagonjwa waliongua moto
 • Wagonjwa waliopata ajali na kuumia kichwa
 • Wagonjwa waliopata ajali na kuvunjika uti wa mgogo
 • Wagonjwa waliopooza kutokana na sababu mbali mbali
 • Kutoa huduma kwa wagonjwa wenye ulemavu wa kudumu
 • Kutoa huduma kwa wagonjwa wenye mvujiko na mtenguko
 • Kutoa huduma kwa wagonjwa wanaotarajia kufanyiwa upasuaji na baada ya upasuaji
 • Kutengeneza vifaa saidizi kwa wagonjwa