Kitengo cha kifua kikuu na ukoma

Kitengo cha kifua kikuu na ukoma

        Matibabu ya kifua kikuu na ukoma na ufuatiliaji

  • Vipimo vya makohozi, x-ray, upimaji wa VVU
  • Kutoa huduma/rufaa kwa wagonjwa wenye kifua kikuu sugu
  • Elimu ya afya ya kifua kikuu na ukoma na VVU
  • Ushauri nasaha
  • Kuwapa rufaa wagonjwa wenye dalili zinazofanana na kifua kikuu kwa wale ambao walishaugua kifua kikuu
  • Kutuma sampuli za makohozi CTRL kwa wagonjwa wa marudio ambao ni:-
  • Smear  +ve
  • failure