Meno

Kitengo kinatoa huduma za:-

 • Kung’oa meno
 • Kuziba, kutibu jino bila kung’oa
 • Kusafisha meno
 • Kufunga taya na wire (baada ya ajali)
 • Elimu ya fya ya kinywa na meno
 • Upasuaji mdogo wa uvimbe
 • Upasuaji wa jipu
 • Mionzi
 • Kuweka jino bandia, kuvua na kuweka mara moja
 • Kuweka meno bandio kinywa chote
 • Kurekebisha meno yaliyoota vibaya