Huduma zetu
- Health education
- Investigation and Treatment
- Vaccination
- Minor Surgery
- Cervical cancer screening
- Counselling
- Nursing Care
- Lab Investigation
- Treatment of diseases
- Counselling
- Health education
- Follow up plan
- Admission in both Normal and Private
Hematoloty
- Full blood picture, HB, Blood group and cross match
Microbiology
- Sputum culture
- Blood culture
- Stool culture
- Urine Culture
- CSF culture
- Sputum for AFB
- Gram stain
- Pus culture
- India ink
- Pandy’s
- Body fluid cultur...
- Utunzaji na utoaji wa vifaa/tiba vya hospitali
- Utoaji kwa dawa kwa wagonjwa wa nje na ndani katika vitengo vifuatavyo:-
- Bima ya Afya
- Wagonjwa wa Ukimwi
- Wagonjwa wa madawa ya kulevya
- Wagonjwa wenye kifua kikuu na ukimwi
- Ushauri kwa wagonjwa wa nje
- Uchunguzi kwa magonjwa ya uvimbe
- Kuandaa orodha ya wagonjwa wa kulazwa
- Kutoa rufaa kwa wagonjwa wa nje kwenda kliniki nyingine
- Kutoa huduma ya Upasuaaji.
Tunatoa huduma ya
.
- Relmic ultrasound//Abdominal ultrasound
- Plain x-ray (skull, limbs, chest, Abdominal)
- Fluoroscopy services 9HSG, Barium studies, urethrogram, IVO
- Small parts ultrasound Granial , sastal, throid, breast, dopller)
- Elimu ya afya ya kinywa na meno
- Kung’oa meno
- Kuziba, kutibu jino bila kung’oa
- Kusafisha meno
- Kufunga taya na wire (baada ya ajali)
- Elimu ya fya ya kinywa na meno
- Upasuaji mdogo wa uvimbe
- Upasuaji wa jipu
- Mionzi
- Kuweka jino ba...
- Nasihi kabla na baada ya upimaji
- Elimu ya afya juu ya VVU, uzazi wa mpango, saratani ya shingo ya kizazi na Kifua kikuu
- Uanzishwaji wa dawa na unywaji wa dawa
- Utambuzi na tiba ya magonjwa nyemelezi
- Elimu ya afya kwa Mama na Mtoto
- Chanjo za watoto na akina mama
- Huduma ya uzazi wa mpango kwa Kinamama
- Upimaji wa saratani ya shingo ya kizazi
- Kutoa elimu ya afya kwa wagonjwa na watumishi
- Kutoa matibabu kwa:-
- Watoto wenye mtindio wa ubongo
- Watoto wenye mguu kifundo
- Wagonjwa wenye kiharusi
- Wagonjwa wenye maumivu ya mgongo
- Wagonjwa wenye maumivu ya viungo (joint)
- Wagonjwa/watoto ...
- Ushauri wa wagonjwa wa nje
- Kutoa tiba kwa akina Mama wenye Matatizo.
- Kutengeneza orodha kwa ajili ya wagonjwa wa kufanyiwa upasuaji
- Matibabu ya kifua kikuu na ukoma na ufuatiliaji
- Vipimo vya makohozi, x-ray, upimaji wa VVU
- Kutoa huduma/rufaa kwa wagonjwa wenye kifua kikuu sugu
- Elimu ya afya ya kifua kikuu na ukoma na VVU
- Ushauri nasaha
- Kuwapa rufaa wagonjwa wenye dalili z...
- Elimu ya afya ya ugonjwa wa kisukari
- Upimaji wa Kisukari
- Tiba kwa Wagonjwa wa kisukari
- Kutoa ushauri kwa wagonjwa
-
-Kupokea Wagonjwa wote ambao ni Majeruhi na Mahututi
-Kutoa huduma ya kwanza na ya haraka kwa wagonjwa wote ambao ni Majeruhi na Mahututi
-Kuwapeleka mahodini wagonjwa wote Wenye uhitaji wa kulazwa
.-Kutoa elimu kwa waathirika wa Dawa za kulevya
-Uchunguzi wa Magonjwa mbalimbali kama Homa ya ini, kifua Kikuu na Virusi vya Ukimwi
-Kutoa dawa ya "Methadone"
-Kutoa Ushauri Nasaha kwa Waathirika wa dawa za kulevya.
-Kutoa elimu ya Afya ya akili kwa Jami
-Kupima magonjwa ya Afya ya Akili
-Kutoa Tiba kwa wenye Matatizo ya Afya ya Akili
readmore