Dira

Kuhakikisha kuwa hospitali ya Rufaa ya Sekou Toure inatoa huduma  za afya kwa mpangilio, kwa wakati unaofaa na kwa ufanisi kwa kutumia rasilimali zinazopatikana.