Timu ya Afya kutoka ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Wizara ya Afya pamoja na watoa huduma za Afya ya mama Na mtoto ndani ya Mkoa wa Mwanza wamekutana pamoja ...Read more

Karibu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza (Sekou toure) kwa huduma bora kutoka kwa madaktari wabobezi...
Read moreHematoloty
Microbiology
Timu ya Afya kutoka ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Wizara ya Afya pamoja na watoa huduma za Afya ya mama Na mtoto ndani ya Mkoa wa Mwanza wamekutana pamoja ...Read more
FAHAMU KUHUSU HOMA YA EBOLA
Ugonjwa wa Homa ya Ebola ni ugonjwa wa hatari unaosababishwa na virusi vya ebola. Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa ya milipuko yajulikanayo ka...
read moreFahamu zaidi kuhusu ugonjwa wa Kisukari
Kisukari jina la kitaalamu hujulikana kama diabetes mellitus ni ugonjwa unaoonyesha viwango vikubwa vya sukari katika damu.
Ugonjwa wa kisukari ni mlolongo wa matatizo mwilini ya mda mrefu na mfupi ku...
read moreUgonjwa wa kifua kikuu ni kati ya magonjwa matatu yanayotokea sana kwa watu masikini duniani (Disease of poverty). Magonjwa mengine katika jamii ya disease of poverty ni malaria na Ukimwi (AIDS). Ugonjwa wa...
read moreUGONJWA WA HOMA YA INI (HEPATITIS) : MAMBO MUHIMU YA KUFAHAMU
Ini ni kiungo muhimu sana ndani ya miili yetu, hufanya kazi zaidi ya 500 ; moja ya kazi ni kuchuja na kuondoa sumu kutoka kwenye damu.
Kutokana na sababu mbalimbali kam...
read moreSARATANI YA SHINGO YA KIZAZI NI NINI?
Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cells zilizoko katika shingo ya kizazi. Mabadiliko haya hupelekea chembe chem...
read moreHiki ni kirusi cha aina gani?
Corona ni jamii kubwa ya virusi vinavyosababisha maradhi kwa wanyama na binadamu. Kwa binadamu, jamii kadhaa za virusi vya Corona vinafahamika kusababisha maambukizi kwenye njia ya hewa na mfumo wa upumuaji. Maradhi yaliy...
read more