Huduma ya Afya ya Kinywa na Meno
Posted on: December 21st, 2024
- Elimu ya afya ya kinywa na meno
- Kung’oa meno
- Kuziba, kutibu jino bila kung’oa
- Kusafisha meno
- Kufunga taya na wire (baada ya ajali)
- Elimu ya fya ya kinywa na meno
- Upasuaji mdogo wa uvimbe
- Upasuaji wa jipu
- Mionzi
- Kuweka jino bandia, kuvua na kuweka mara moja
- Kuweka meno bandio kinywa chote
- Kurekebisha meno yaliyoota vibaya