Huduma ya Uraibu wa Madawa ya Kulevya
Posted on: December 21st, 2024.-Kutoa elimu kwa waathirika wa Dawa za kulevya
-Uchunguzi wa Magonjwa mbalimbali kama Homa ya ini, kifua Kikuu na Virusi vya Ukimwi
-Kutoa dawa ya "Methadone"
-Kutoa Ushauri Nasaha kwa Waathirika wa dawa za kulevya.