Huduma ya Wagonjwa wa Dharura(Emergence)
Posted on: December 30th, 2024-Kupokea Wagonjwa wote ambao ni Majeruhi na Mahututi
-Kutoa huduma ya kwanza na ya haraka kwa wagonjwa wote ambao ni Majeruhi na Mahututi
-Kuwapeleka mahodini wagonjwa wote Wenye uhitaji wa kulazwa