Huduma ya kifua kikuu na ukoma
Posted on: December 21st, 2024- Matibabu ya kifua kikuu na ukoma na ufuatiliaji
- Vipimo vya makohozi, x-ray, upimaji wa VVU
- Kutoa huduma/rufaa kwa wagonjwa wenye kifua kikuu sugu
- Elimu ya afya ya kifua kikuu na ukoma na VVU
- Ushauri nasaha
- Kuwapa rufaa wagonjwa wenye dalili zinazofanana na kifua kikuu kwa wale ambao walishaugua kifua kikuu
- Kutuma sampuli za makohozi CTRL kwa wagonjwa wa marudio ambao ni:-
- Smear +ve
- failure