Huduma ya Mazoezi ya Viungo
Posted on: December 21st, 2024- Kutoa elimu ya afya kwa wagonjwa na watumishi
- Kutoa matibabu kwa:-
- Watoto wenye mtindio wa ubongo
- Watoto wenye mguu kifundo
- Wagonjwa wenye kiharusi
- Wagonjwa wenye maumivu ya mgongo
- Wagonjwa wenye maumivu ya viungo (joint)
- Wagonjwa/watoto waliopata ajali wakati wa kuzaliwa
- Wagonjwa waliongua moto
- Wagonjwa waliopata ajali na kuumia kichwa
- Wagonjwa waliopata ajali na kuvunjika uti wa mgogo
- Wagonjwa waliopooza kutokana na sababu mbali mbali
- Kutoa huduma kwa wagonjwa wenye ulemavu wa kudumu
- Kutoa huduma kwa wagonjwa wenye mvujiko na mtenguko
- Kutoa huduma kwa wagonjwa wanaotarajia kufanyiwa upasuaji na baada ya upasuaji
- Kutengeneza vifaa saidizi kwa wagonjwa