Huduma ya tiba na matunzo ya Ukimwi (CTC)
Posted on: May 9th, 2025- Nasihi kabla na baada ya upimaji
- Elimu ya afya juu ya VVU, uzazi wa mpango, saratani ya shingo ya kizazi na Kifua kikuu
- Uanzishwaji wa dawa na unywaji wa dawa
- Utambuzi na tiba ya magonjwa nyemelezi