TAARIFA KWA UMMA
Posted on: January 19th, 2026Tanzania yawavutia wawekezaji wa Dawa kwa uwekezaji wa serikali na Sera za uhakika wa masoko.
Uwekezaji huo ni pamoja na kuanzishwa kwa vituo maalumu vya uzalishaji wa dawa na hatua za sera zinazolenga kutoa uhakika wa soko kwa wazalishaji wa ndani watakaokidhi viwango vya kimatifa.