MMM

Napataje Leseni ya Biashara!?

Kupata maelezo ya jinsi ya kupata leseni ya Biashara angalia hapa

Je ni bima zipi zinakubalika?

1. NHIF

2. CHF

3. Strategis

4. Jubilee

5. Assemble

6. NSSF

7. WCF


Je kuna huduma ya wodi za binafsi.

Ndio huduma ya wodi binafsi (za kulipia) kwa jinsi zote

Kuna huduma gani za kibingwa sekoutoure?

Huduma zote za kibingwa zinapatikana hapa kwetu kila siku saa moja na nusu asubuhi mpaka saa tisa na nusu mchana