SEKOUTOURE YAPOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA AJILI YA WATOTO WANAOZALIWA KABLA YA UMRI
Posted on: March 9th, 2026Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Mwanza Sekoutoure Dkt Bahati P. Msaki amepokea jumla ya vifaa viwili (Infant Radiant Warmer na Phototherapy), kutoka kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rishwa (TAKUKURU) vitakavyotumika katika kuhudumia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti) Hositali hapo.