DESK AND CHAIR FOUNDATION YATOA MSAADA SEKOUTOURE KUELEKE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Posted on: March 9th, 2026The Desk and Chair Foundation imezindua na kukabidhi vyoo na bafu walivyokarabati katika wodi ya wanawake, pamoja na kutoa zawadi za kifurushi cha vifaa vyote vya kujifungulia kwa wajawazito wanaotarajia kujifungua hositalini hapo, ikiwa ni kuwapongeza wanawake hao katika kuelekea siku ya kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake Diniani.